Back to Songs List
Kiswahili kitukuzwe, kwani ni lugha ya taifa Baba, mama na vijana, lugha kitu cha maana Watu wanapokutana bila lugha watakwama Kiswahili kitukuzwe, kwani ni lugha ya taifa